Kwa majina ni Michael oganga,kama nlivyojieleza mimi nafanya kazi ya upakaji rangi,skimming,wall Master na App bitumen application. Nimefanya pazuri,(vipingo golf) Nyali bazaar (China square kengeleni)synergy gases ,dolphins hotel etc. Kabla hapo pia mimi ni fundi wa maji(plumber)nmefanya tangu 2013 . Ila kwa sahi nafanya upakaji wa rangi nkichukua tenda.




